Nenda kwa yaliyomo

Hai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Image
Ramani ya wilaya ya Hai

Wilaya ya Hai SW-Hai.flac Matamshi (info) ni wilaya moja ya Mkoa wa Kilimanjaro. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Hai ilihesabiwa kuwa 259,958 . Katika wilaya hiyo Wachaga wengi wanaishi ambao huzungumza lahaja tofauti, kama Wamachame na Wamasama.

Image Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.

Image Kata za Wilaya ya Hai - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania Image

Bomang'ombe | Bondeni | KIA | Machame Kaskazini | Machame Magharibi | Machame Mashariki | Machame Narumu | Machame Uroki | Masama Kati | Masama Kusini | Masama Magharibi | Masama Mashariki | Masama Rundugai | Mnadani | Muungano | Romu | Weruweru