Nenda kwa yaliyomo

Kalamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Image
Kalamu ya wino.

Kalamu (kutoka neno la Kiarabu) ni kifaa cha risasi (kaboni) au kiwekwacho wino na kutumiwa kuandikia.

Image Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kalamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.