1882
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| ►
◄◄ |
◄ |
1878 |
1879 |
1880 |
1881 |
1882
| 1883
| 1884
| 1885
| 1886
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1882 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 16 Januari - Margaret Wilson, mwandishi kutoka Marekani
- 30 Januari - Franklin D. Roosevelt, Rais wa Marekani (1933-45)
- 2 Februari - James Joyce, mwandishi kutoka Ueire
- 21 Aprili - Percy Bridgman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1946
- 20 Mei - Sigrid Undset (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1928)
- 4 Juni - John Bauer, mchoraji kutoka Uswidi
- 17 Juni - Igor Stravinsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 26 Agosti - James Franck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1925)
- 11 Desemba - Max Born (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954)
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 19 Aprili - Charles Darwin (mwanasayansi Mwingereza)
- 27 Desemba - Giovanni Losi, kasisi na mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Italia
