Nenda kwa yaliyomo

Bill Joy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Nelson Joy (Alizaliwa Novemba 8, 1954) ni mhandisi wa kompyuta bilionea na mwekezaji nchini Marekani.[1]Alianzisha Sun Microsystems mwaka 1982 pamoja na Scott McNealy, Vinod Khosla, na Andy Bechtolsheim, na alihudumu kama Mwanasayansi Mkuu na Afisa Mkuu wa Teknolojia katika kampuni hiyo hadi mwaka 2003.[2]

  1. "ACM author profile page: William Nelson Joy".
  2. Joy, Bill (Oktoba 10, 1980). "Computer Systems Research Group BSD Distribution: Diff". Computer Systems Research Group. Iliwekwa mnamo Desemba 15, 2022. case 'v':{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Image Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bill Joy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.