Nenda kwa yaliyomo

Edward Lear

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edward Lear (Mei 12, 1812Januari 29, 1888) alikuwa msanii, mchoraji picha, mwanamuziki, mwandishi, na mshairi wa Uingereza. Alisafiri sana na kuchora mandhari ya Italia, Ugiriki, na Uhindi, na alifanya kazi kwa British Museum kwa miaka mingi. Pia alifundisha uchoraji kwa Malkia Victoria.[1][2]

  1. Metropolitan Museum of Art (New York, N.Y.), and Katharine Baetjer. 2009. British paintings in the Metropolitan Museum of Art, 1575–1875. New York: Metropolitan Museum of Art. p. 270. ISBN 1588393488
  2. Vivien Noakes says Lear's birth certificate gives 13 May as his birthdate but says "there is some doubt about the exact date". Noakes, Vivien. 1986. Edward Lear, 1812–1888. New York: H.N. Abrams. p. 74. ISBN 0810912627
Image Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Lear kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.